top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 23:39:05

Gonorrhea

Gonorrhea

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Gono" au "Gonorea" au "Kisonono"


Gono kwa wanawake


Gono. Ingawa asilimia 80 ya wanawake walio na gono hawana dalili, wengine hutokwa na ute wa njano au kijani wenye harufu mbaya ya uozo, ambao unaweza kutoka kwenye tezi Bartholin au Skene. Dalili nyingine ni pamoja na maumivu wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara na kutokwa na mkojo bila hiari, kutokwa na damu, na kuvimba na kuwa mwekundu ukeni. Maumivu makali ya tumbo la chini na nyonga pamoja na homa yanaweza kutokea.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 23:39:05

bottom of page