top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:03:46

Gt kirefu chake ni nini?

Gt kirefu chake ni nini?

Gt katika tiba ni kufupisho cha neno la Kilatini ‘gutta’ lenye maana ya ‘tone’.


Vifupi vinavyoashiria Gt

Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia vifupisho vifuatavyo vyenye maana sawa na Gt.

  • gts- humaanisha tone (moja)

  • gtt limetokana na neno la kilatini 'guttae'- humaanisha matone (zaidi ya moja)

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page