top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:05:10

h.d ni kirefu cha nini?

h.d ni kirefu cha nini?

Katika tiba na cheti cha dawa h.d ni kirefu cha neno la Kilatini ‘hora decubitus’ lenye maana ya ‘wakati wa kulala’.


Tafsiri ya h.d kwenye cheti cha dawa

Endapo litatumika katika tiba au cheti cha dawa, humaanisha dawa hiyo itumike wakati unaingia kitandani kulala.

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page