top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

7 Aprili 2026, 10:08:46

h.s ni kirefu cha nini?

h.s ni kirefu cha nini?

h.s katika tiba ni kirefu cha neno la Kilatini ‘hora somni’ lenye maana ya ‘saa la kulala’.


Tafsiri ya h.s kwenye cheti cha dawa

Endapo limetumika katika dawa, neno hili humaanisha ‘dawa itumike katika saa ya kulala’

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page