top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

30 Machi 2025, 10:30:46

Herpes simplex (genital)

Herpes simplex (genital)

Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la " Herpes Simplex (Jenitalia)" au "Herpes simplex (sehemu za siri)"


Herpes simplex sehemu za siri


Kutokwa na ute mwingi wa kamasi kunaweza kutokea kutokana na maambukizi ya kirusi herpes simplex, lakini dalili kuu ya awali mgonjwa anyolalamika ni vidonda vyenye maumivu, vilivyovimba na vilivyojaa majimaji (malengelenge) kwenye mashavu ya uke, uke, mlango wa kizazi, njia ya haja kubwa, mapaja, au mdomo.


Dalili nyingine zinazoweza kutokea ni wekundu wa ngozi, uvimbe mkubwa wa ngozi (edema), tezi limfu za kinena zilizovimba zinaweza kutokea na kuambatana na maumivu, homa, uchovu mkali, na maumivu wakati wa kukojoa.

Imeandikwa:

30 Machi 2025, 10:30:46

bottom of page