top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
30 Machi 2025, 14:06:34

Herpes Zoster
Ni neno tiba lenye jila la kiswahili la "Hepaz zosta"
Herpes zoster ya Neva fuvu
Maambukizi ya neva fuvu nambari nane kutokana na virusi vya Herpes zoster husababisha kizunguzungu mzunguko cha ghafla, ambacho kinaweza kuambatana na dalili zifuatazo;
Kupooza kwa uso
Kupoteza usikivu kwenye sikio lililoathirika
Malengelenge kwenye mfereji wa sikio
Hali hii pia inajulikana kama "Sindromu ya Ramsay Hunt", ikiwa virusi vya Hepaz zosta vimeathiri neva ya uso (Neva fuvu nambari VII) pamoja na neva ya usikivu na usawa (Neva fuvu nambari VIII).
Imeandikwa:
30 Machi 2025, 14:05:17
bottom of page
