top of page

Homoni

Mwandishi:

ULY CLINIC

19 Julai 2021 19:16:20

Homoni

Homoni ni nini?


Homoni ni zao la chembe hai linalozunguka kwenye majimaji ndani ya mwili na hufanya kazi maalumu, mara nyingi hutuma ujumbe wa kuongeza ufanyajikazi wa chembe zilizo mbali na sehemu ilipozalishwa.


Mfano wa homoni


Mfano wa homoni ni; homoni testosterone, insulin, estrogen, progesterone n.k


Majina mengine ya homoni ni


  • Vichochezi

  • Vichocheo

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:08:46

bottom of page