top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
2 Aprili 2025, 15:44:07
Hypersensitivity reaction
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Mwitikito-kinga mkali"
Mwitiko-kinga mkali ni mchakato ambapo mfumo wa kinga wa mwili hujibu/huitikia kwa nguvu au vibaya kwenye vitu ambavyo kwa kawaida havipaswi kusababisha mwitikio makali. Hali hii inasababisha madhara kwa mwili, badala ya kinga dhidi ya magonjwa au maambukizi.
Dalili za mwitiko-kinga mkali
Muwasho
Kuvimba au upele
Maumivu ya tumbo
Kizunguzungu
Kupumua kwa shida
Kupungua kwa shinikizo la damu
Imeandikwa:
2 Aprili 2025, 15:39:19
bottom of page
