top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
i.m ni kirefu cha nini?
i.m katika tiba na dawa ni kifupisho cha neno ‘intramascular’ lenye maana ya ndani misuli.
Katika tiba au cheti cha dawa, endapo neno i.m litafuatiwa baada ya dawa humaanisha dawa hiyo itumike kwa kuchoma ndani ya misuli.
Vifupisho sawa na i.m
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia kifupisho IM kumaanisha i.m
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
