top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
i.v kirefu chake ni nini?
i.v kitiba hutumika kama kifupisho cha neno ‘intravenous’ lenye maana ya ‘ndani ya vena’. neno venous limetokana na neno la Kilatini ‘vena’
Kama dawa imeambatana na neno i.v inamaanisha dawa inatumika kwa kuchoma ndani ya mishipa ya vena.
Vifupisho vingine sawa na i.v
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia kifupisho cha IV na Iv kumaanisha i.v yaani dawa ya kuchoma kwenye vena
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
