top of page

Inivipele

Mwandishi:

Dkt. Mangwella S, MD

21 Septemba 2024 11:27:15

Inivipele

Inivipele ni neno tiba linalomaamisha ini kuwa na vipele kutokana na sababu mbalimbali. Sababu kuu huwa ni homa ya virusi vya ini na matumizi ya kupindukia ya pombe. Uhalibifu huwa endelevu endapo kisababishi kitaendelea na huwa ngumu ini kurejea kwenye hali yake ya awali kwa asehemu ambayo imeshaharibika.


Dalili inayoweza kuambatana na inivipele ni kuchoka, udhaifu wa mwili, kupoteza uzito. Baada ya muda mrefu kupita mgonjwa anaweza kupata dalili ya manjano, kuvimba tumbo, kuvia damu tumboni, kuchanganyikiwa.


Majina mengine

Majina mengine ya inivipele ni cirrhosis

Imeboreshwa,

5 Oktoba 2024 15:38:57

bottom of page