top of page
Jina la kibiashara la dawa
Mwandishi:
ULY CLINIC
21 Julai 2021 18:19:26
Nini maana ya jina la kibiashara la dawa?
Jina la kibiashara la dawa ni jina la dawa lililopewa na mtengenezaji. Dawa yenye kiini kimoja inaweza kuwa na majina mengi kutokana na mtengenezaji.
Mfano wa majina ya kibiashara ya dawa paracetamol ni;
Panadol
Shelladol
Calpol
Mfano wa majina ya kibiasharaa ya dawa Sulfadoxine/Pyrimethamine (SP) ni;
Fansidar
Orodar
Sulfadar
Imeboreshwa,
23 Septemba 2022 06:13:53
bottom of page