top of page
Kitovu cha mtoto
Mwandishi:
ULY CLINIC
20 Julai 2023 07:49:40

Kitovu ni shina linalobakia tumboni mwa mtoto baada ya kunyauka kwa kipande cha kiungamwana.
Baadhi ya watu huita kiunga mwana kama ‘kitovu cha mtoto’ lakini hivi ni vitu viwili tofauti.
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi?
Kusoma zaidi kuhusu kitovu cha mtoto na kiunga mwana bofya kwenye linki zinazofuata;
Kitovu cha mtoto
Imeboreshwa,
20 Julai 2023 07:49:40
bottom of page