top of page
Kizimua sumu
Mwandishi:
ULY CLINIC
13 Septemba 2021 19:55:10
Kizimua sumu ni nini
Kizimua sumu ni dawa au kemikali inayoondoa athari za sumu mwilini. Hufanya hiyo kwa njia mbalimbali kama kuzuia ufyonzwaji wake tumboni, kuungana nayo ili kupunguza makali, kuzuia isifanye kazi kwenye ogani au kwa kuzuia umetaboli wa sumu kuwa sumu kali zaidi. Mkaa ni mfano wa kizimua sumu cha dawa carbamazepine, dapsone, quinine, phenobarbitone na theophylline.
Majina mengine
Kizimua sumu hufahamika kama antidote
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:40:06
bottom of page