top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
27 Machi 2025, 09:25:54

Koplik’s spots
Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la "Vidoa vya Koplik" au "ishara ya Koplik"
Vidoa vya Koplik ni vidonda vidogo vyekundu vyenye vitu vya buluu-vyeupe katikati kwenye Utando wa ulimi na mashavu, na ni dalili ya surua. Baada ya kuonekana kwa ishara hii, kawaida, surua hutokea ndani ya siku 1 hadi 2.
Imeandikwa:
27 Machi 2025, 09:23:24
bottom of page
