top of page

Kujila kwa mwili

Mwandishi:

ULY CLINIC

14 Juni 2021 18:02:56

Kujila kwa mwili

Kujila kwa mwili ni nini?


Hutokana na mwili kuzalisha antibodi na chembe nyeupe za damu dhidi ya chembe hai za mwili ambazo hazina shida yoyote, hivyo hupelekea kuharibu chembe hai zisizo na shida na kuleta magonjwa kama baridi yabisi n.k


Kujila kwa kinga ya mwili kwa jina jingine ni ‘shambululio binafsi la kinga’. Kwa lugha nyingine hufahamika kama ‘autoimmune’


Majina mengine


Majina mengine yanayomaanisha kujila kwa mwili ni;


  • Kujishambulia kwa kinga ya mwili

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:23:17

bottom of page