top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

12 Aprili 2025, 09:16:53

Latent phase of labor

Latent phase of labor

Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la "Kipindi cha awali cha uchungu wa uzazi"au"Awamu ya kificho ya uchungu wa uzazi"


Awamu ya kificho ya uchungu wa uzazi ni kipindi cha mwanzo ambapo mama anaweza kuwa na maumivu ya uchungu wa uzazi, lakini mlango wa kizazi bado haujafunguka kikamilifu (mara nyingi hufunguka chini ya sentimita 4), na uchungu haujawa wa nguvu au wa kudumu.


Kipindi hiki kinaweza kudumu kwa;

  • Masaa machache hadi siku kadhaa, hasa kwa mama mwenye mimba ya kwanza.

  • Kwa kawaida hakihitaji haraka kwenda hospitali isipokuwa mama ana dalili zisizo za kawaida kama damu nyingi, maumivu makali yasiyoisha, mtoto kutosogea tumboni, nk.

Imeandikwa:

12 Aprili 2025, 09:16:53

bottom of page