top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

30 Machi 2025, 14:45:21

Ménière’s disease

Ménière’s disease

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Ugonjwa wa Ménière’s"


Ugonjwa wa Ménière husababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa labyrinth ndani ya sikio la ndani, hali inayosababisha mashambulizi ya ghafla ya kizunguzungu mzunguko yanayoweza kudumu kwa dakika, saa, au hata siku.


Dalili kuu

  • Kizunguzungu mzunguko kikali na kisichotabirika

  • Kupoteza usikivu kwa hatua, mara nyingi kwenye sikio moja

  • Mjongeo wa kutembea usio tulivu, hali inayoweza kusababisha kuanguka

  • Kelele za masikio


Wakati wa shambulio:

  • Mjongeo wa ghafla ya kichwa au macho unaweza kusababisha kichefuchefu na kutapika.

  • Mashambulizi hutokea bila mpangilio, na huathiri maisha ya kila siku

Imeandikwa:

30 Machi 2025, 14:45:21

bottom of page