top of page

Mafindofindo

Mwandishi:

ULY CLINIC

25 Julai 2021 07:48:37

Mafindofindo

Mafindofindo ni nini?


Mafindofindo ni michomo kinga kwenye koo na tezi tonses inayopelekea ukuta wa koo na tonses kuwa na rangi nyekundu, kutoa usaha, vidonda au kuota kwa ukuta unaofunika tonses. Michomo kinga mara nyingi husababishwa na maambukizo ya bakteria wa kundi A- beta hemolytic streptococci.Maambukizo ya koo na bakteria aina nyingine pia, virusi, fangasi au sababu zisizohusiana na vimelea huweza amsha mfumo wa kinga na kupelekea michomo kinga ya koo.


Majina menigne


Majina mengine ambayo humaanisha mafindofindo ni;


  • Koo jekundu

  • Michomo kinga ya koo na tonses

  • Falinjotonsilaitiz

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 14:46:38

bottom of page