top of page

Mafuta shamiri

Mwandishi:

ULY CLINIC

17 Julai 2021 13:15:03

Mafuta shamiri

Mafuta shamiri ni nini?


Mafuta shamiri ni aina ya mafuta yenye molekyuli nyingi za hydrojeni na tindikali ya mafuta. Hii hutokana na kutokuwa na kiungo zaidi ya kimoja kati ya molekyuli za kabon.


Aina hii ya mafuta huonekana kuwa hatari endapo yakitumika kwa wingi kwani huganda ndani ya mishipa ya damu na huwa na hatari ya kusababisha magonjwa ya moyo na mishipa ya damu mfano mshtuko wa moyo, kiharusi n.k


Mfano wa mafuta shamirifu ni;

• Siagi

• Mafuya ya wanyama

• Mafuta ya nazi


Majina mengine ya mafuta shamiri hufahamika kama;

• Saturated fat

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:12:43

bottom of page