top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 18:12:14

Mafuta yasiyoshamiri
Mafuta yasiyoshamiri ni nini?
Mafuta yasiyoshamiri ni aina ya mafuta yenye molekyuli chache za hydrojeni na huku ikiwa na molekyuli nyingi za tindikali ya mafuta. Hii hutokana na kuwa na kiungo zaidi ya kimoja kati ya molekyuli za kabon
Mafuta yasiyoshamiri huchukuliwa kuwa mafuta mazuri kwa binadamu kwa sababu hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
Mfano wa matu yasiyoshamiri ni;
Mafuta ya mzeituni
Mafuta ya parachini
Mafuta ya karanga almond
Mafuta ya karanga
Mafuta ya ufuta
Mafuta ya ubuyu
Mafuta ya mbegu za boga
Mafuta ya karanga ya mhazeli
Mafuta ya karanga ya mpikani
Mafuta ya samaki sato n.k
N.k
Majina mengine
Majina mengine ya mafuya yasiyoshamiri ni
Unsaturated fat
Imeandikwa:
17 Julai 2021, 16:17:10
bottom of page
