top of page

Magonjwa ya mtafunokinga

Mwandishi:

ULY CLINIC

14 Juni 2021 18:02:56

Magonjwa ya mtafunokinga

Magonjwa ya mtafunokinga ni nini?


Ni magonjwa yatokanayo na shambulio binafsi la kinga ya mwili.


Shambulio binafsi hutokea endapo mwili unazalisha chembe ulinzi zinazoshambulia chembe zingine hai za mwili, mfano wa magonjwa ya shambulio binafsi ni baridi ya bisi. Mtafunokinga kwa jina jingine huitwa magongwa ya autoimyuni.

Imeboreshwa,

21 Septemba 2024 12:10:54

bottom of page