top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
24 Julai 2021, 13:20:39

Magonjwa yasiyo ya kuambukizi
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza maana yake nini?
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa yanayotokana na mabadiliko katika utendaji kazi wa kawaida wa mwili yanayosababishwa na mabadiliko au mtindo mbaya wa maisha. Magonjwa haya yanaweza kuzuilika endapo mtu atabadili mtindo wa maisha na kufuata kanuni za kiafya
Mfano wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni shinikizo la juu la damu, kisukari, vidonda vya tumbo, saratani, obeziti n.k.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022, 14:47:32
bottom of page