top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

3 Oktoba 2024, 05:42:23

Maji ya uzazi

Maji ya uzazi

Maji ya uzazi awali hutokea kwenye majimaji ya damu ya mama yanayopita na kuingia kwenye chupa ya uzazi, hata hivyo majimaji kutoka kwenye mapafu na mkojo wa kijusi huchangia sehemu kubwa ya maji ya uzazi baada tu ya viungo hivyo kukomaa.


Maji ya chupa ya uzazi huwa na mchanganyiko wa mkojo, homoni, virutubisho na antibodi zinazopabana na maradhi.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi?

Pata maelezo zaidi kuhusu maji mengi kwenye makala za

Maji mengi ya uzazi na maji kidogo ya uzazi

Imeboreshwa,

3 Oktoba 2024, 05:42:23

bottom of page