top of page
Manii
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, M.D
9 Julai 2023, 19:45:26
Manii ni chembe ya uzazi ya mwanaume ambayo huitwa kwa jina jingine kama gameti. Gameti huwa na maana nyingine ya chembe nusu. Gameti ya mwanaume ikiungana na ya mwanamke hutengeneza kijusi ambacho hukua ndani ya mji wa mimba kuwa binadamu.
Rejea
Molecular Biology of the Cell. 4th edition.https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK26914/#:. Imechukuliwa 09.07.2023
Imeboreshwa,
20 Julai 2023, 07:49:51
bottom of page