top of page
Maudhi ya dawa
Mwandishi:
ULY CLINIC
21 Julai 2021 18:56:15
Maudhi ya dawa ni nini?
Maudhi ya ni madhara madogo ya dawa yanayotarajiwa au kufahamika kisayansi kuwa yatatokea kwa badhi ya watumiaji wa dawa husika. Maudhi ya dawa hufahamika kwa kulipotiwa na watumiaji wa dawa au kutoka kwenye tafiti zilizofanyika kwa watumiaji wa dawa.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 15:02:21
bottom of page