Metro
Mwandishi:
ULY CLINIC
31 Mei 2022 13:15:17
Metro katika tiba hutumika kama kifupisho kisicho rasmi cha dawa yenye jina la metronidazole. Metronidazole ni antibayotiki jamii ya nitroimidazole inayotumika kutibu maradhi mbalimbali yanayosababishwa na bakteria pamoja na vimelea wengine kama amoeba na Trichomonas vaginalis.
Majina mengine ya metro
Metro hufahamika kwa majina mengine kama;
Flagyl
Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:
Metro ni dawa gani?, Metro ni nini?, Metro inatibu nini?, Metro hutibu nini?, Metro inatibu ugonjwa gani?, Metro inaruhusiwa kutumika na pombe?, Metro na pombe, Dawa ya Metro, mjamzito anaweza tumia Metro?, Metro naitumiaje?, Metro ni dawa ya nini?, Metro inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Metro kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Metro, Metro ina madhara?, Metro hukaa muda gani mwilini?
Imeboreshwa,
20 Julai 2023 07:50:13