top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

6 Februari 2026, 17:13:48

Motor Agraphia

Motor Agraphia

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Agrafia ya misuli" ambapo ni aina ya agrafia inayotokea pale ambapo mtu hushindwa kuandika kwa usahihi kutokana na udhaifu wa misuli, kupooza, au matatizo ya neva yanayodhibiti harakati za mkono na vidole. Katika hali hii, mfumo wa lugha huwa haujaathirika; mtu anaweza kufikiri, kuelewa, na kupanga maneno kwa usahihi, lakini hushindwa kuyatekeleza katika maandishi kwa sababu ya changamoto za kimwili.

Imeandikwa:

6 Februari 2026, 17:13:48

bottom of page