top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 17:56:06
Muingiliano wa dawa
Muingiliano wa dawa maana yake nini?
Muingiliano wa dawa ni mwingiliano unaotokea endapo dawa moja imetumika pamoja na nyingine kuweza kusababisha dawa hizo zisifanye kazi kama ilivyokusudiwa.
Mfano ufyonzaji wa Magnesium trisilicate kwenye tumbo hupungua endapo itatumika kwa pamoja na Tetracycline.
Imeandikwa:
22 Julai 2021, 11:37:51
bottom of page
