top of page

Nusu maisha ya dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

9 Julai 2021 17:04:30

Nusu maisha ya dawa

Nusu maisha ya dawa ni nini?


Nusu maisha ya dawa ni makadilio ya muda wa wingi wa kiini cha dawa kwenye damu kufikia nusu yake au asilimia 50 ya kile kilichoingia.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:18:53

bottom of page