top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

30 Machi 2025, 14:33:05

Nystagmus

Nystagmus

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Mjongeo macho usio hiari" au "Nistigmaz"


Nistigmaz ni mijongeo ya misuli ya macho isiyodhibitika na huwa ya haraka, ambayo inaweza kuwa za mwelekeo wa mlalo, wima , au ya kuzunguka.. Mara nyingi hutokea kutokana na matatizo ya mfumo wa vestibula kwenye sikio la ndani, shina la ubongo, au serebelamu( sehemu ya ubongo inaypohusiana na usawa na uratibu wa mijongeo ya mwili.


Dalili zinazoambatana na mijongeo macho isiyo hiari

  • Kizunguzungu mzunguko

  • Kichefuchefu na kutapika

  • Kupoteza usawia wa mwili wakati wa kutembea na uratibu wa misuli

  • Kupoteza usikivu ikiwa chanzo ni sikio la ndani

Imeandikwa:

30 Machi 2025, 14:33:05

bottom of page