top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
o.d ni kirefu cha nini?
o.d katika tiba na cheti cha dawa ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘omni die’ lenye maana ya ‘kila siku’ ingawa wataalamu wengi wa afya hutumia kifupisho o.d kumaanisha 'mara moja kwa siku' yaani dawa itumike mara moja kwa siku.
Vifupisho vyenye maana sawa na o.d
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia neno OD kumaanisha o.d
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
