top of page
Obeziti
Mwandishi:
ULY CLINIC
14 Juni 2021 20:53:37
Obeziti ni nini?
Ni ugonjwa wa mwili kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi kutokana na mafuta mengi yaliyohifadhiwa kwenye ngozi.
Ugonjwa huu si kwamba unaleta mwonekano mbaya wa mwili,bali hupelekea hatari ya kupata magonjwa mbalimbali ya moyo na mishipa ya damu, homoni n.k.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 15:21:48
bottom of page