top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 03:05:10

occul maana yake ni nini?

Occul hutumika katika tiba na cheti cha dawa kama kifupisho cha neno la Kilatini ‘occulent’ lenye maana ‘ya macho’

Dawa ikiandikwa na kufuatiwa na kifupisho occul humaanisha dawa hiyo inatumika kwa kutiwa machoni.


Vifupisho vingine sawa na occul

Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia vifupisho’Occul’, ‘ocul’ kumaanisha dawa inayotumika kwa kutia machoni.

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 03:03:30

bottom of page