top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:05:10

ORS ina maana gani?

ORS ina maana gani?

ORS ni kifupi cha neno ‘Oral Rehydration Salt’ linalomaanisha chumvi ya kurejesha maji mwilini.


Ndani ya ORS kuna nini?

Mchanganyiko wa ORS licha ya kuitwa chumvi ya kurejesha maji, umetengenezwa na;

  • Chumvi sodium chloride

  • Chumvi potasiamu chloride

  • Chumvi sodium citrate


Pamoja na

Sukari aina ya glukosi

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page