top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 14:56:13

Ovarian tumor (feminizing)

Ovarian tumor (feminizing)

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Uvimbe wa Ovari wenye dalili za kike"


Uvimbe wa ovari wenye dalili za kike unaozalisha estrogen unaweza kuchochea kumomonyoka kwa endometriamu na kusababisha kutokwa na damu nyingi zisizohusiana na tendo la ndoa au kujisafisha ndani ya uke. Hali hii inaweza kuambatana na uvimbe unaogundulika kwenye tumbo la chini, ongezeko la kamasi kwenye kizazi, kuongezeka kwa ukubwa wa matiti, na uwepo wa na mishipa ya mwonekano wa buibui

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 14:54:25

bottom of page