top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
p.c kirefu chake ni nini?
p.c katika tiba ni kifupisho cha neno la kilatini "post cibum" lenye maana ya ‘baada ya chakula’. Kwenye cheti cha dawa neno hili linamaanisha tumia dawa baada ya chakula.
Kifupisho kingine kiinachofanana na p.c
Vifupisho vingine vinavyofanana na p.c ni PC au P.C yenye maana hiyo hiyo moja lakini huwa hakitumiwi sana. Endapo kitatumiwa kwenye cheti cha dawa maana yake ni sawa na p.c
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
