top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:04:45

p.o kirefu chake ni nini?

p.o kirefu chake ni nini?

p.o ni kifupisho cha neno la Kilatini "per os" lenye maana ya ‘kwa kinywa’. Katika cheti cha dawa, neno hili likitumika humaanisha dawa hiyo itumiwe kupitia kinywa.

Vifupisho vingine sawa na p.o

Kifupisho kingine kinachofanana na neno p.o na huwa na maana moja endapo kikitumika kwenye cheti cha dawa ni PO au P.O

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page