top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:05:10

p.r.n  kirefu chake ninini?

p.r.n kirefu chake ninini?

p.r.n katika cheti cha dawa na kwenye tiba ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘pro re nata' lenye maana ya ‘tumia pale inapolazimu’

Katika cheti cha dawa, kutumia kifupisho p.r.n humaanisha dawa hiyo haijapangiwa muda maalumu wa kutumika, mgonjwa atapaswa kutumia dawa pale endapo anapata dalili tu.


Vifupisho vingine vinavyotumika kama p.r.n

Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia vifupisho vifuatavyo kumaanisha p.r.n

  • PRN

  • P.R.N

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page