top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 18:20:06

Parasthizia
Parasthizia ni nini?
Parasthizia (Parasthesia) ni hisia za kuungua au kuchomachoma ambazo huhisiwa kwenye viganja, mikono, miguu au kanyagio au sehemu nyingine za mwili.
Dalili hii hutokea bila kishiria chochote na huwa hakiambatani na maumivu na huelezewa kama ganzi, ngozi kutambaliwa na kitu au muwasho.
Imeandikwa:
15 Juni 2021, 16:34:23
bottom of page
