top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

25 Machi 2025, 15:16:54

Parietal sensory cortex

Parietal sensory cortex

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Koteksi hisia ya parietali" au "gamba hisia la parietali".


"gamba hisia la parietali". Hii inarejelea sehemu ya gamba la ubongo inayohusika na uchakataji wa taarifa za hisia kama vile mguso, shinikizo, joto, na maumivu.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 15:10:47

bottom of page