top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 15:54:04

Penile chancroid

Penile chancroid

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Chankroidi uumeni"


Chankroid uumeni ni ugonjwa wa zinaa wa nadra sana kutokea,  lakini unaoambukiza kwa urahisi. Husababisha kutokwa vijeraha kwenye sehemu za nje ya uume ambavyo awali huwa na wekundu na baadaye kuwa vidonda. Ndani ya wiki 2 hadi 3, tezi limfu za eneo la inguinal (zinazoonekana upande mmoja) zinaweza kuwa na maumivu na kuvimba, pamoja na kuwashwa, kujaa usaha, na kutokwa kwa majimaji kwa hiari. Maumivu ya kichwa, uchovu, na homa hadi 102.2°F (39°C) ni dalili za kawaida kutokea.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 15:54:04

bottom of page