top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

1 Februari 2026, 17:38:26

Pituitary

Pituitary

Pituitary ni tezi inayofahamika kiswahili kama Pituitari ambayo ni tezi ndogo iliyopo kwenye msingi wa ubongo ambayo inadhibiti utoaji wa homoni mbalimbali muhimu kwa kazi za mwili. Mara nyingi huitwa “tezi mama”  kwa sababu inadhibiti au kuchochea tezi nyingine za mfumo wa homoni kufanya kazi zake.


Pituitari huchangia katika:

  • udhibiti wa ukuaji wa mwili (kupitia homoni ya ukuaji)

  • udhibiti wa homoni za tezi nyingine kama thyroid, ovari, na korodani

  • udhibiti wa maji mwilini

  • usawazishaji wa michakato ya mwili kupitia mfumo wa endocrine


Pituitari hufanya kazi kwa karibu na haipothalamus, ambayo hutoa ishara zinazoelekeza shughuli zake.

Imeandikwa:

1 Februari 2026, 17:26:50

bottom of page