top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Februari 2026, 17:11:06

Pure Agraphia
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Agrafia safi" ambapo ni aina ya agrafia inayojitokeza pale ambapo mtu hupoteza au kuharibikiwa uwezo wa kuandika pekee, huku uwezo mwingine wa lugha kama kuzungumza, kusoma, na kuelewa lugha ukiwa bado uko kawaida. Hali hii hutokea kutokana na uharibifu wa eneo maalum la ubongo linalohusika na kuhifadhi na kutekeleza ujuzi wa kuandika, bila kuathiri mfumo mpana wa lugha.
Imeandikwa:
6 Februari 2026, 17:11:06
bottom of page
