top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
q.d kirefu chake ni nini?
q.d ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘quaque die’ lenye maana ya ‘kila siku’
Katika cheti cha dawa au tiba, endapo q.d. itatumika, huashiria kuwa dawa hiyo itumike kila siku.
Vifupisho vingine vyenye maana ya q.d
Baadhi ya wataalamu hutumia neno QD kumaanisha q.d
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
