top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:05:10

QID kirefu chake ni nini?

QID kirefu chake ni nini?

QID kitiba ni kifupi cha neno la Kilatini "quater in die" lenye maana ya 'mara nne kwa siku'. Hutumika kwenye cheti cha dawa kumaanisha 'dawa itumike mara nne kwa siku' (ndani ya masaa 24) yaani dawa itumike kila baada ya masaa 6.


Kifupisho vingine vyenye maana sawa na QID

Vifupisho vingine vyenye maana sawa na QID ni 'qid' na 'q.i.d' au 'Qid'

Baadhi ya wataalamu pia hutumia kifupisho QD kumaanisha kila baada ya masaa 6

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page