top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
Rx kirefu chake ni nini?
Rx katika tiba ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘recipe’ lenye maana ‘Chukua’ au ‘pokea’
Kwenye cheti cha dawa neno Rx huandikwa kabla ya orodha ya dawa chini yake na humaanisha uchukue au utumie dawa zilizoorodheshwa na mtaalamu wa afya.
Vifupisho vingine vyenye maana ya Rx
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia kifupisho RX au rx kumaanisha Rx.
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
