top of page
Sainas
Mwandishi:
ULY CLINIC
18 Julai 2021 18:57:33

Sainas ni nini?
Ni njia inayoanzia kwenye uso na kuishia ndani tishu, njia hii sikuzote huwa imefunikwa na tishu za granyulesheni. Mfano wa sainas ni sainas ya kuzunguka njia ya haja kubwa
Matamshi ya neno sainas ni 'Sai-NA-a-a-s'
Asili ya neno sainas
Neno sainas limetoholewa kutoka kwenye neno la Kilatini 'sinus' lenye maana ya kijishimo, kifuko n.k
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 15:10:36
bottom of page