top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
25 Machi 2025, 15:56:19
Schizophrenia
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Schizofrenia"
Schizofrenia linamaanisha ugonjwa wa afya ya akili ambapo mtu anaweza kupata hali ya kuchanganyikiwa, kupoteza uhusiano na ukweli, na kuwa na mawazo na hisia zinazopingana.
Imeandikwa:
25 Machi 2025, 15:56:19
bottom of page
