top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

30 Machi 2025, 15:30:36

Seizure

Seizure

Ni neno tiba lenye jila la kiswahili la "Shoti ya ubongo"


Shoti ya ubongo wa temporo inaweza kusababisha kizunguzungu mzunguko, ambacho mara nyingi huambatana na dalili nyingine za shoti tata ya ubongo isiyo kamili.


Dalili za shoti ya ubongo wa temporo

  • Kizunguzungu mzunguko

  • Kupoteza fahamu au hali ya kuzimia

  • Matatizo ya kumbukumbu au ufahamu

  • Mijongeo ya misuli isiyodhibitika

  • Matatizo ya hisia kama vile moto au baridi kwenye viungo


Shoti ya ubongo wa temporo inaweza pia kusababisha usikivu au uono wa vitu visivyokuwepo na hisia za kutojua kinachoendelea.

Imeandikwa:

30 Machi 2025, 15:30:36

bottom of page